Stori kubwa za leo ni
pamoja na kata ya Kipawa kuhusu Elimu, ishu nzito bungeni ya vitabu vya
elimu vilivyolipuliwa ambayo imewasilishwa na James Mbatia, idadi ya
polisi waliokimbia familia zao kutokana na tishio la wananchi Mtwara
kutokana na swala la gesi….. hizi ni miongoni tu mwa habari zilizosomwa
kwa kina na PJ.
SIKILIZA HABARI KUBWA ZA MAGAZETI FEB 1, 2013 ZIKISOMWA KWA KINA KWENYE POWER BREAKFAST
Hisia
0
Post a Comment