![]() |
| Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa Recreativo de Libolo ya Angola,Dario Cardoso katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Libolo ilishinda 1-0. |
![]() |
| Ngassa akimtoka beki wa Libolo, Antonio Cassule |
![]() |
| Haruna Chanongo wa SImba akipasua katikati ya wachezaji wa Libolo |
![]() |
| Ngassa akimtoka Cassule |
![]() |
| Ngassa na Cassule |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Libolo, Pedro Ribeiro kulia |
![]() |
| Simba na Libolo wakiingia uwanjani |
![]() |
| Kikosi cha Libolo leo |
![]() |
| Simba wakiomba dua na nyuma yao ni Libolo pia wakiomba dua |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC leo |
![]() |
| Wachezaji wa Simba SC wakiwapungia mikono mashabiki wao kabla ya mechi |
![]() |
| Mrisho Ngassa akipiga krosi baada ya kufanikiwa kumtoka beki wa Libolo |
![]() |
| Kipa wa Simba, Juma Kaseja akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Libolo kufunga bao |
![]() |
| Libolo wakiwapungia mikono mashabiki wa Yanga baada ya mechi kuwashukuru kwa kuwashangilia |
![]() |
| Haruna Moshi 'Boban' (kushoto) akipiga shuti mbele ya beki wa Libolo |
![]() |
| Beki wa Simba, Juma Nyosso akimiliki mpira mbele ya beki wa Libolo |
![]() |
| Haruna Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Libolo |
![]() |
| Kiungo wa Libolo, Manuel Lopez akiondoka na mpira baada ya kumzidi maarifa Mwinyi Kazimoto wa Simba SC |
![]() |
| Manuel Lopez kulia akigombea mpira na Mwinyi Kazimoto wa Simba SC kushoto |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto akigombea mpira wa juu na kiungo wa Libolo |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Shomary Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo |
![]() |
| Haruna Moshi 'Boban' akimtoka beki wa Libolo |
![]() |
| Amri Kiemba akimtoka beki wa Libolo |
![]() | |
| Mwinyi Kazimoto wa Simba akigombea mpira wqa juu na kiungo wa Libolo |
























Post a Comment