Msanii mkongwe nchini Abubakar Katwila aka Q-Chief jana Jumaili
alifanya show ya kwanza baada ya miaka mitano katika ukumbi wa New
Maisha Club jijini Dar es Salaam. Katika show hiyo, Q-Chief
alisindikizwa na wasanii wenzie ambao ni pamoja na Banana, H-Baba, Beka,
Cassim, Barnaba na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
Post a Comment