Ujenzi wa barabara ya km 317.8 kwa kiwango cha lami kutoka Songea
hadi Tunduru umeshatinga Namtumbo mjini. Sasa maisha tambalale kwa
wakwe, undendeule. Kazi imefikia zaidi ya asilimia 80, na vijana
wanaendelea kupiga box.

Vijana kibao wa huku wamenufaika kwa ajira ya ujenzi wa barabara hii muhimu ambayo ujenzi wake ulisimama kwa muda baada ya kampuni ya kandarasi ya Ujenzi ya Progressive ya India kushindwa na kutimuliwa na kupatikana mkandarasi mwingine. Picha na mdau Gerson Msigwa
Post a Comment