USIKOSE KUANGLIA LEO TBC1 MAKALA ZA ZA UKWELI HALISI WA GESI ASILIA NCHINI


Wadau,
Tafadhali msikose kufuatilia mfululizo wa makala za kusisimua za UKWELI HALISI wa gesi asilia nchini, kuaniza leo Jumatatu saa moja kamili usiku katika kituo cha Runinga cha TBC1.

Katika kipindi cha leo mtaona jitihada zinazofanywa na wizara ya Nishati na Madini katika kuhakikisha gesi inawanufaisha wananchi wote.

Vipindi vitarushwa kila Jumatatu saa moja usiku na kurudiwa kila Jumatano saa nne asubuhi, kwa muda wa miezi mitatu mfululizo.

Karibuni.

Veronica H. Simba

Post a Comment

Previous Post Next Post