Video:- Binti yatima, umri miaka 8, akielezea jinsi alivyokua akibakwa mara kwa mara na mchungaji
Hisia0
Binti yatima, umri miaka 8, akielezea kwa uchungu jinsi alivyokua
akibakwa mara kwa mara na mchungaji ambaye ndiye mkuu wa kuangalia
usalama wao. Madaktari wamesema sehemu za uzazi za mtoto huyo
zimeharibika permanently
Post a Comment