wabunge wapigana kwenye TV show
Wabunge wawili wapigana makonde wakati wa kipindi cha mdahalo kwene runinga ya kitaifa huku Georgia.
Huko Lebanon wabunge wengine wawili pia
warushiana glasi za maji na baadae kupigana ngumi vilevile wakati wa
mdahalo kwenye Televisheni. Hii ni baada ya wabunge hao kuhitalafiana
kuhusu vita vinavyoendelea nchini Syria baina ya waasi na serikali ya
Rais Basher al Assad.

Post a Comment