ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUNYONYA CHUCHU ZA DIAMOND PLATNUMZ
Hisia0
Show
ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao
mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana
na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa
tofauti.Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda,
akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa
chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo
na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia
baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend
wake.Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
Post a Comment