Askari wa usalama barabarani agongwa na gari!

  Wasamaria Wema wakifuniaka mwili wa Askari wa Usalama barabarani baada ya kugongwa na gari.
 
Askari wa usalama barabarani katika mataa ya kuongezea magari yaliyoko eneo la Bamaga Dar es Salaam amegongwa na gari na inadhaniwa amekufa papo hapo.

Post a Comment

Previous Post Next Post