
Jeshi
la Polisi Kanda Maalum ya dare s Salaam limewafukuza kazi askari watano
kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu yanayotokana na wizi wa
fedha shilingi milioni 150 uliotokea eneo la Kariakoo lililofanyika
tarehe 14/12/2012.
Katika
tukio hilo askari hao walihusika katika ukamataji wa watuhumiwa na
vielelezo na ndipo ilipodaiwa kielelezo (pesa) kilipotea na askari hao
kuhusishwa na upotevu huo.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amewataja askari
hao kuwa ni SSGT Dancan, CPL Rajab, CPL Cavin, CPL Geofrey na CPL
Kawanami.
Post a Comment