DIAMOND AMSAIDIA MADEE KUTAFUTA ALIEKUNYWA POMBE YAKE

Diamond ni mmoja kati ya wasanii watakao onekana kwenye video ya wimbo mpya wa Madee "pombe yangu" iliyofanyika tarehe 19 mwezi huu, chini ya Director Adama Juma. kwenye picha hizo pia wameonekana Ngwea na Darasa wakishow love kwenye video hiyo.



Post a Comment

Previous Post Next Post