HomeENTERTAINMENT ISHA MASHAUZI AKIRI KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA Hisia March 25, 2013 0 STAA wa muziki wa taarab na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ ameibua gumzo na kushangaza mashabiki baada ya kukiri kuwa yeye ni mtumiaji wa pombe kali na madawa ya kulevya aina ya mirungi
Post a Comment