King Majuto Mwigizaji wa filamu Swahiliwood.
Advertisement
KOMEDIANI
Mkongwe katika tasnia ya filamu na vichekesho Swahiliwood Amri Athuman
‘King Majuto’, akiongozana na wasanii nyota katika tasnia ya filamu
Bongo, yaani Ray, JB, na Irene Uwoya wapo nchini Rwanda kwa mwariko wa
Ishusho Arts ya Rwanda wakiwa ni wageni waarikwa katika utoaji wa tuzo
za filamu zilizoandaliwa nchini humo.
Majuto pamoja na kundi hilo
watakuwa moja kati ya watoaji wa tuzo hizo kwa washindi watakaotangazwa
kama washindi wa Tuzo zinazojulikana kama Rwanda movie Awards, wasanii
waliondoka jijini Dar es salaam siku ya jumatano kwa ajili ya utoaji wa
tuzo ambazo zimezidi …read more
Source: FilamuCentral
Source: FilamuCentral

Post a Comment