MADARAJA MAPYA YA KUFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE


Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:

A = 81%-100% 
B = 61%-80% 
C = 41%-60% 
D = 21%-40% 
F = 0%-20% 

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A = 80%-100% 
B = 65%-79% 
C = 50%-64% 
D = 35%-49% 
F = 0%-34% 
Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi wa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo

Post a Comment

Previous Post Next Post