Makanisa matatu yavamiwa Kilimanjaro

Kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz

Watu wasiojulikana wamevamia makanisa matatu mkoani Kilimanjaro na kuvunja milango, kuharibu mali mbalimbali zikiwemo kompyuta na samani za kanisa na kuiba fedha.
Tukio hilo limetokea katika jimbo la Kilimanjaro Mashariki, Dayosisi ya Kaskazini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mkuu wa jimbo hilo, Mchungaji Winford Mosha, alisema kuwa tukio hilo limetokea …read more
Source: IPPMedia

Post a Comment

Previous Post Next Post