Mange Kimambi Aonesha Hela Alizozipata Baada ya Biashara na Kusema Haya

Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake..........


"NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA...


MKIMALIZA KUTUKANA NJOONI NIWAPE AJIRA.....LOLEST!!!!!


SIJIBISHANI NA WACHOVU...........


NDO KWANZAAAAA NATENGEZA MAHELAAA NA MUME ANANISUBIRI KWA HAMU,


MTACHONGA SANA HAACHWI MTU NA BONGOLICIOUS NDO MAMBO YOOOOTE.......


MWAKA HUU MTAISOMA NUMBERRRR.......


HATA MUONGEE NINI MIE NDO MANGE KIMAMBI NA MTAENDELEA KU KISS THE


GROUND I WALK ON........." Says Mange




Post a Comment

Previous Post Next Post