Mary
Chrisostom Rutta, kutoka Mkoa wa Manyara (katikati) akifurahi baada ya
kutangazwa mshindi. Kushoto ni Jamia Abdul (Kagera) na Joan John kutoka
Lindi ambao waliingia tatu bora.
---
MREMBO
Mary Rutta kutoka Mkoa wa Manyara jana usiku aliwabwaga warembo wenzake
26 katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Miss Utalii mwenye
kipaji. Kinyang’anyiro hicho kilifanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa
Dar Live.PICHA : RICHARD BUKOS / GPL
Post a Comment