Nimehudhuria kanisani leo, nashangaa baadhi ya mabinti wanavaa nguo za
aibu hadi uongozi wa kanisa ninako sali wamepitIsha azimio la kuwavika
kanga wanawake watakaokuja na nguo zisizo na staha kanisani....,
maswali yangu ni kwamba mwanamke anapovaa nguo isiyo na staha kanisani huwa anamfurahisha nani? Pia huwa najiuliza hata kwenye bendi za muziki ukitazama wacheza shoo wa kiume na wa kike utashangaa tofauti ya uvaaji wao, maana utakuta wanaume wamevaa kiheshima sometimes suti kabisa lkn kwa dada zetu daaaaaaaaahhh wanavaa nguo za kubanaaa na vitovu vikiwa nje, halafu wanaharakati wa haki za kijinsia wapo kimyaaa. Big up kwa wanawake wote wanaovaa nguo za heshimu kwa maadili ya ki-tz.

Post a Comment