Marehemu
Athumani Kilambo (kanzu ya kijani) enzi za uhai wake akiwa na wakongwe
wenzie wa Pan African Saad Mateo (kushoto) na Kitwana Manara (wa pili
kulia).
Kocha Athumani Kilambo akiwa na kikosi cha Pan Africa kilichonyakua ubingwa 1982
Marehemu
Athumani Kilambo (wa pili nyuma kushoto) akiwa na kikosi cha Yanga
kilichotembelea Brazil mwaka 1974. Hapa ni uwanja wa Maracana
Kocha Athumani Kilambo akiwa na kikosi cha Pan Africa kilichonyakua ubingwa 1982
Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema mchezaji huyo wa zamani wa Yanga na
kocha wa Pan Africa amefariki dunia usiku huu baada ya kusumbuliwa na
saratani ya koo kwa takriban miaka miwili. Hivi majuzi alitolewa
hospitali ya Ocean Road jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa kwa
zaidi ya majuma mawili. Msiba uko nyumbani kwake Mwananyamala B Kwa Mama
Zakaria
Source: ISSA MICHUZI
Post a Comment