
Picha juu zinaonyesha zoezi likiendelea usiku na mchana

Kikosi cha Huduma ya Kwanza Kipo Kwa zaidi ya masaa 48 sasa
Kazi ya uchimbaji wa kifusi ukiendelea



Sehemu ya kifusi kizito kikiwa tayari kuchimbuliwa


Kazi ya Uchimbaji wa kifusi ikiwa inaendelea kwa masaa zaidi ya 48 mpaka sasa


Zoezi la kuangalia kama kuna miili iliyofukiwa kwenye kifusi ikiendelea alfajiri ya leo

Waziri
wa Mambo ya Nchi Dr Emmanuel Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa Rais wa
Jumuiya ya shia nchini Jinsi Hali ya Ukoaji na uchumbaji wa Kifusi
unavyoendelea

Waziri
wa Mambo ya Ndani Dr Emmanuel Nchimbi akipata Maelezo ya jinsi hali ya
ukoaji na uchumbaji wa kifusi zinavyoendelea kutoka kwa Kiongozi wa
ukoaji kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ)

Baadhi
ya Wananjeshi wa Jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) na Wananchi
mbalimbali Wakipata kifungua kinywa baada ya kufanya kazi kwa muda wa
masaa 48

Vikosi
vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)na Kile cha Jeshi la Kujenga
Taifa(JKT)vikiendelea na Zoezi la ufukuaji wa kifusi na ukoaji

Rais Jakaya Kikwete akifuatilia zoezi la uokoaji Kwa Siku ya pili kwenye jengo la ghorofa
16 lililoanguka katika Mtaa wa Indira Gandhi jana. Kulia ni Kamanda wa
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova na Mkurugenzi wa
Kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Meja Jenerali, Sylvester Rioba.
Picha Zote na Fidelis Felix na Walji Ali


Post a Comment