
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia
hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha
dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana.Mzee Kingunge
alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.jopo la madaktari
bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa
unaomsumbua. Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na
kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile.Picha na Freddy
Maro-IKULU
Post a Comment