
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIHUTUBIA WAKATI WA SHEREHE ZA MIAKA 25 YA
HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI MIKOCHENI, DAR ES SALAAM, LEO
MACHI 16, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua
rasmi hosteli ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert
Kairuki wakati wa sherehe za miaka 25 ya hospitali ya Hubert Kairuki
Mikocheni, Dar es salaam, leo Machi 16, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri
Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim wakiangalia watoto wachanga
waliotunzwa katika chumba maalum muda mfupi baada ya kuzaliwa wakati
Rais Kikwete alipotembelea sehemu mbalimbali za hospitali ya Kumbukumbu
ya Hubert Kairuki akiwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 25 ya
kuanzishwa kwake leo Machi 16, 2013.
Mkurugenzi Mkuu wa hospitali ya Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Mama Koku
Kairuki akimkabidhi tuzo Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango
wake mkubwa katika kuendeleza sekta ya afya nchini wakati wa sherehe za
miaka 25 ya hospitali hiyo leo Machi 16, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi tuzo kwa kutambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya nchini
wakati wa sherehe za miaka 25 ya hospitali hiyo leo Machi 16, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu
Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, na viongozi wa hospitali ya Hubert
Kairuki wakiwa katika picha ya pamoja na vijana waliozaliwa katika
hospitali hiyo miaka 25 iliyopita leo Machi 16, 2013
Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria sherehe za miaka 25 ya
hospitali ya Hubert Kairuki Mikocheni, Dar es salaam, leo Machi 16,
2013.

Msanii Mrisho Mpoto akiburudisha wakati wa sherehe za miaka 25 ya
hospitali ya Hubert Kairuki Mikocheni, Dar es salaam, leo Machi 16,
2013.

Seehemu ya wageni waalikwa na wanafunzi na wafanyakazi wa hospitali ya
Kumbukumbu ya Hubert Kairuki wakati wa sherehe za miaka 25 ya hospitali
ya Hubert Kairuki Mikocheni, Dar es salaam, leo Machi 16, 2013.PICHA NA
IKULU.
Post a Comment