Wema
Sepetu amekimbilia Benki baada ya mahakama kutoa hukumu mapema leo hii
juu ya kesi ya Kajala na hukumu yake kutajwa kwenda jela miaka 5 au
kulipa faini ya Milioni 13. Wema amejitolea kuamua kumsaidia Kajala ili
aweze kutoka. Habari zaidi utazidi kuzipata hapa kama atafanikiwa kutoa
pesa na kulipa leo leo.
Post a Comment