
Tukio hili la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia jana katika club
maarufu hapa katikati ya jiji ambapo binti mmoja ambae jina lake
halikuweza kufahamika mara moja alijikuta akitia aibu katika club hiyo
na kusababisha umati wa watu kujaa katika eneo hilo kushuhudia vihoja
vilivyo kuwa vinafanywa na binti huyo baada ya kulewa chakali na kuvua
nguo kisha kubaki na chupi na kuanza kuwa distabu wateja wengine walio
kuwepo mahali hapo wakipata moja baridi moja moto.
Akihojiwa na mwandishi wetu mmiliki
wa club hiyo ambae alikataa jina lake lisitajwe alifunguka na kusema
"kwa kweli sio utaarabu kabisa kitendo alicho fanya huyu binti hii ni
sehemu ya kazi nategemea kazi hii kuji ingizia kipato,sasa mtu anapokuja
na kuanza kufanya fujo kwa kweli tunashindwa kumuelewa hata kama
umekuja hapa kustarehe kwa pesa zako kumbuka heshima ni kitu cha bure".
Binti huyo aliyefika kwenye club hiyo
na jamaa mmoja aliye fahamika kwa jina la
jamali alijikuta akiondoka eneo hilo peke yake baada ya jamaa aliyekuja
nae kumkimbia baada ya binti huyo kuvua nguo na kuanza kutembea uchi wa
mnyama...
Pombe Mbaya Jamani...Kama huwezi Bora uache tu..
Post a Comment