
MSANII
wa nyimbo za muziki wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Baby
Madaha amewashukia baadhi ya wasanii wa kike nchini wanaojihusisha na
maswala ya ngono na wanaume wenye umri mdogo maarufu kwa jina la
‘Kijibwa’ kuwa ni hali ya kukata tamaa na ushamba ndio unaochangia
kufanya kitendo hiko
Akizungumza
jijini Dar es Salaam Msanii huyo alisema kuwa anashangazwa na baadhi ya
wasanii hususani wa kike kujihusisha na maswala ya ngono na wavulana
wenye umri mdogo huku wakitumia jina la ‘kijibwa’ kwa ajili ya kukidhi
matakwa yao ya..read more
Source: Pro-24
Source: Pro-24
Post a Comment