Hackers Waivamia Website ya Chuo Kikuu DSM na Kuweka Matangazo ya Ngono

Jana  mchana, mtandao  wa  chuo  kikuu  cha  Dar es salaam  uliingiliwa  na  mahackers  na  kujazwa  matangazo  ya  ngono.....
Matangazo  hayo  machafu  yalikuwa  yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......
MWONEKANO  WA  JANA MCHANA


Baada ya kugundua hilo Account ilifungwa kwa muda na kuonesha hii Massage....Ila leo asubuhi website imerudi Kama Kawaida..Poleni Sana




Post a Comment

Previous Post Next Post