Nashukuru kwa maswali, kupitia e-mails mbalimbali nilizopokea
Napenda kuwafahamisha wale wanaopenda kujiunga na La Famille 2, namna ya kushiriki.
Utatakiwa unitumie e-mail
Unielezee ni sababu gani zilizopelekea wewe kutaka kujiunga na hii familia?
Na ukishajiunga utaifanyia nini familia hii?
Mambo ya msingi ya kuzingatia ni yafuatayo:
Lengo kuu la familia ni kukuza uhusiano wa upendo na amani kwa watu ambao hawakuwahi kufahamiana, na kuweza kushiri katika kusaidiana kwenye shida na raha.
Kushiriki katika mambo, na shughuli mbalimbali za kijamii pale inapobidi.
Kama kutembelea watoto wasiojiweza, kuwafariji na kuwapa chochote hata pipi.
Sio lazima mahela meeeengi. n.k
Nafasi zilizopo ni 14 tu
Nasubiri mails zenu na nawatakia kila kheri
JayDee

Post a Comment