Hii Kali..Wanawake hawa wawili walikamatwa kwenye Super Market Moja
nchini Kenya wakiwa wameficha Madumu ya Mafuta ya kupikia katikati ya
Mapaja yao, inasemekana hii ndio staili mpya ya kuiba vitu Super
Market...Ila hawa ilikula kwao baada ya kuonekana kwenye CCTV wakiweka
mafuta hayo kwenye mapaja...na baada walinzi kuwasimamisha kwa
ukaguzi..AIBU TOSHA ..LOOO
Post a Comment