PICHA HII IMENASWA LEO ODINGA AKIWA NA KENYATTA IKULU NA WALIOKUA WAGOMBEA WENZA WAO


Picture
Picha: L-R: Uhuru, Ruto, Raila, Kalonzo katika Ikulu ya Nairobi leo, Aprili 13, 2013
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na na Naibu wake William Ruto, leo wamekutana na kushauriana na wakuu wa chama cha CORD Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waliowatembelea Ikulu Nairobi kuwatakia heri.

Post a Comment

Previous Post Next Post