
Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana
kwa jina Babu Sambeke, au maarufu kama Bob Sambeke aliyekuwa anatokea
West Kilimanjaro.
Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua
baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.
Post a Comment