SEMINA YA MAFUNZO YA UAMUZI WA MPIRA WA MIGUU YAINGIA SIKU YA 4, WILAYA YA BARIADI

Semina ya UAMUZI WA MPIRA WA MIGUU YAINGIA SIKU YA 4 KATIKA WILAYA YA BARIADI MKOA WA SIMIYU,
Semina hiyo itachukua muda wa siku 6, ambapo ilianza rasmi tarehe 01.04.2013 siku ya juma tatu na kuishia tarehe 06.04.2013 siku ya jumamosi
Baada ya kuhitimisha mafunzo hayo wahitimu watafanya mazoezi ya kuchezesha mpira kuanzia siku ya Jumatatu, katika mashindano ya Umitashumta 
Picha na Maelezo zaidi ya semina hiyo zitawajia hivi punde

Post a Comment

Previous Post Next Post