Wageni na wanafunzi kutoka Shule za majimbo mbali mbali watembelea
jijini Washington DC kwa ajili ya Spring Break inayoendelea wiki hii
Chanzo:- http://swahilivilla.blogspot.com
Baadhi ya wageni kutoka sehemu mbali mbali wakiwa ndani ya Big Bus Tour
kwa ajili ya ya mzunguko wa matembezi ya Sehemu mbali mbali muhimu hapa
mjini Washington DC, nauli ya busi hilo ni $ 40 kwa kila abiria
Wageni na wanafunzi wengi wanaokuja kutembea jijini hapa hupenda
kutembelea maeneo kama haya ya kihistoria pichani ni Jumba la National
Gallery of Art - West Building ni Jumba moja la makusanyo wa kuelezea
mafanikio makubwa ya dunia katika uchoraji wa sanaa, jumba lipo
liliopo Mitaa ya Madison Drive, in N.W. Washington, D.C.
Wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherehekea Spring Break juu ya jengo la National Gallery of Art - West Building
Wanafunzi wakiwa katika harakati za hapa na pale katika kuchukua taswira za ukumbusho wa matembezi yao
Baadhi ya wanafunzi pamona na wageni kutoka majimbo tafauti wakiwa
katika foleni ya kuingia ndani ya National Museum of American
History: Kenneth E. Behring Center
National Museum of American History: Kenneth E. Behring Center ni sehemu
muhimu sana kwa kutembelea kwa ajili ya kuangalia kumbukumbu Museam ipo
mitaa ya 14th Constitution Avenue, N.W., Washington, D.C.
Yasin Matola a.k.a Landi akipata picha ya pamoja na wachakarikaji
wenzake ndani ya Subway iliopo mitaa ya 501 D St NW, Down Town
Washington DC
Mnara wa Monuments Tour uliopo Washington, DC ukifanyiwa ukarabadi
Mnara kwa jina maarufu la (Monuments Tour) uliopo Washington, DC ukifanyiwa ukarabadi
Abraham Lincoln Memorial Washington D.C
Upande wa Nyuma wa White House South Portico picha kwa National Mall. mbili ya mnara wa Monuments Tour
Hapa ni mbele ya Washington na Lincoln, kwenye na sehemy ya ukumbusho wa wote wa Vita ya pili ya Dunia
Hudhaifa Dogo Janjaa
Post a Comment