Jumatano
iliyopita katika sehemu ya nne kupitia televisheni za ITV na Clouds TV,
mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yalikuwa na ushindani
mkubwa lakini washiriki kutoka Kenya Enphatus Nyambura na Samuel Papa
waliweza kumudu vishindo na kufanikiwa kuwa timu ya tatu kutoka Kenya
kuingia katika hatua ya Pan- Africa, baada ya kuwapiga chini timu za
Tanzania na Uganda.
Katika kipindi hiki cha nne washiriki walijitahidi kufanya vizuri
katika kuonesha uwezo wao wa kuchezea mpira na kujipatia alama nyingi
japo walishindwa kujibu…read more
Source: thehabari.com
Post a Comment