Askari wa Kikosi cha Zimamoto
mkoani Iringa akionyesha namna ya kuzima moto kwa wanafunzi wa chuo
kikuu cha Mkwawa,wakati wa mafunzo ya tahadhari ya moto na jinsi ya
kujikinga na moto pamoja na mbinu za uzimajimoto,yaliyofanyika Chuoni
hapo.
Mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu
cha Mkwawa akifanya mazoezi ya uzimaji moto wakati wakufunga mafunzo
hayo.Picha na Francis Godwin
Post a Comment