BABA JONII KUTAMBULISHA MIXTAPE YAKE YA KWANZA SIKU YA BIRTHDAY YAKE KESHO MAY 16 2013


Adam Mchomvu a.k.a baba jonii Radio presenter clouds fm mwenye crown ya best presenter, anatarajia kutoa mixtape yenye  ngoma kumi na nane alioshirikiana na wasanii mbali mbali kama Jose Mtambo, Banana Zorro, Illimatix, Cliff mitindo, G.nako, Nikk war 2, Babuu war kitaa, TID, na wasanii wengine wengi kama zawadi kwa mashabiki wake ibaki kama kumbukumbu kwa kile anachokifanya hewani (on air) ... mixtape itaingia kitaani soon baada kupreview ngoma hizo ndani ya double XL (XXL) kuanzia saa tisa alasiri kwa hot 3 @ 3 ..... big up baba la baba!

Post a Comment

Previous Post Next Post