Rais wa taff mwakifamba akiongea na wabongo moviez waliofika katika msiba huo jana,
dude akitoa shukrani zake za dhati kwa
wasanii wa bongo movies walioudhuria katika msiba wa mama yake
mzazi.mungu alaze roho ya marehemu mama yake mzazi na dude.amin
ruten kalama,director matola na baga
Dude akiwa na snura
Dude akiwa na directo matola
Post a Comment