Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakiangalia mwili wa marehemu Dk Anold Limo ambaye alikuwa daktari wa macho ukiwa chumba cha kuhifa
dhia maiti baada
ya kudaiwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni ya Camel iliyopo
Nkomola Kihonda usiku wa kumkia leo Manispaa ya Morogoro.
Sehemu ya
wafanyakazi wa kituo cha afya Sabasaba wakijadili jambo nje ya chumba
cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Chanzo:- http://jumamtanda.blogspot.com
Post a Comment