DHAMANA YA WAKATARE YASHINDIKANA LEO , HAKIMU YUPO LIKIZO KWA WIKI MBILI

Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwaka
tare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei.

Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.

Post a Comment

Previous Post Next Post