BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limeanza kazi ya kupanga upya daraja la ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza mwaka jana na ambao matokeo yao yamefutwa.
Limesema baada ya kupokea barua ya kufanya hivyo juzi mchana, wameanza kazi ili kuhakikisha matokeo hayo yanatolewa mapema kwa kufanya kazi usiku na mchana hata mwishoni mwa …read more
Source: HabariLeo
Post a Comment