MAGAZETI
yanayochapisha picha zenye kukiuka maadili hususan za wanawake kwa
kuwageuza malighafi ya kujiingizia kipato, yamemulikwa bungeni huku
Serikali ikihojiwa sababu za kutoyachukulia hatua.
Mbunge wa Konde, Khatib Saidi Haji (CUF) alihoji hayo kwenye swali la
nyongeza baada ya kujibiwa swali la msingi ambalo alitaka kufahamu ni
aina gani ya makosa
Katika majibu ya msingi, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, Amos Makalla alitaja sababu mbalimbali za kufungia magazeti
ikiwa ni pamoja na
Source: HabariLeo
Post a Comment