Aliyekuwa Ofisa Habari Mwandamizi wa Ofisi ya Bunge, Ernest Zulu (kulia) akiwa katika moja ya shghuli za kikazi enzi za uhai wake.
Kuna taarifa kwamba aliyekuwa Ofisa Habari wa Bunge, Ernest Zulu amefariki Dunia nchini Malaysia alikokuwa akiendelea na masomo. Poleni wote walioguswa na msiba huu; Wanahabari, wafanyakazi wa Bunge. Pumzika kwa amani kaka Ernest
Post a Comment