Picha za mwanasheria aliyebambwa akifanya ukahaba. Ashitaki mawakili kwa kusambaza picha zake za uchi.


Reema akiwa home na mbwa wake
Reema akiwa home na mbwa wake



reema-bajaj-1

reema-bajaj-3


Picha iliyochukuliwa polisi baada ya kubambwa (mugshot)
Picha iliyochukuliwa polisi baada ya kubambwa (mugshot)




Reema akiuza sura na sports car. Haijulikani kama ni gari lake au la
Reema akiuza sura na sports car. Haijulikani kama ni gari lake au la



rehema-bajaj
Mwanasheria mmoja wa Illinois ambaye alipatikana na hatia ya kufanya ngono na mwanaume mmoja kwa malipo ya Dola za Marekani 100 anamshitaki aliyekuwa wakili wake wa utetezi na mawakili wengine wawili kwa madai ya kusambaza picha zake za utupu.


Reema Bajaj, mwenye miaka 27, anasema wakili wake wa zamani Timothy Johnson, mwendesha mashitaka wa zamani Calvin Campbell, na mwanasheria aliyeorodheshwa kwenye hati ya mashitaka kama ‘John Doe’ walitoa hadharani picha zake za siri sambamba na taarifa kumhusu yeye.
Sasa wateja, wazee wa mahakama, na majaji wote wameshayaona makabrasha hayo ya..Read More

Source: Ziro99

Post a Comment

Previous Post Next Post