Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa
kuzungumzia Mustakabali wa maendeleo ya Wakulima Barani Afrika
uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam
leo.mkutano huo umeandaliwa na asasi ya(The southern African
Confederation of Agriculktural Unions(SACAU).Wapili kushoto ni Kaimu
Rais wa SACAU Bwana Ishmael Sunga na Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo
Christopher Chiza.
Baadhi ya
wajumbe waliohudhuria Mkutano utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya
Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini
Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya SACAU
(The Southern African Confederation of Agricultural Unions).
(picha na Freddy Maro).
Post a Comment