
mwanamuziki
Rita Ora amesaini dili la paund 500,000 ili kuwa kisura wa nguo za
brand ya Madonna "Material Girl", mwanamziki huyo mpaka sasa tayari
ameshapiga picha kwa ajili ya kampeni ya nguo hizo ambazo zinaendeswa na
Madge na mtoto wake wa kike Lourdes.
habari
zinasema kuwa Lourdes ni shabiki mkubwa wa Rita, na ameshahudhuria show
zake nyingi , na ndio aliemshawishi mama yake "Madonna" kumuona Rita,
na Rita nae hakuilazia dam nafasi hiyo kwasababu pia ni shabiki mkubwa
wa queen of pop "Madona".
Rita pia yuko chini ya mikono mizuri ya Jay Z, ambae alimsaini chini ya Roc Nation tangu akiwa mdogo
Post a Comment