VIDEO: Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Bara Mh. Zitto Kabwe (Mb) amewataka Wanachadema kuwa kitu kimoja na kushikamana ili kutimiza matarajio ya Watanzania kwa CHADEMA. Zitto aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Kanda ya Magharabi.

Post a Comment

Previous Post Next Post