VODACO,VODAFONE YAFADHILI FISTULA


Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza mara baada ya kumalizika kwa hafla kuadhimisha siku ya fistula diniani iliyofanyika katika Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Erwin Teleman. Hafla hiyo ilifadhiliwa na Vodacom na Vodafome ya Uingereza ambao pia hufadhili matibabu ya fistula kwa wanawake wenye tatizo hilo nchini. (NA MPIGAPICHA WETU)

Post a Comment

Previous Post Next Post