Waziri wa Kilimo na Chakula ENG Christopher Chiza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mbolea ya kupandia Ijulikanayo kama Minjingu Mazao yenye Virutubisho vya Phosphate, Urea na Sulphur kilichopo mkani Arusha wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Loyal Villege Dodoma wakati wa Semina ya siku mbili kuhusiana na Utoaji wa Pembejeo za Ruzuku kwa wakulima Jana.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao ya kilimo Nchini DR. Mshindo Msolla Akifafanua jambo mbele ya Wakuu wa mikoa wa Wilaya na Wabunge kwenye Semina kuhusu Utoaji wa Pembejeo za Ruzuku kwa wakulima jana mjini Dodoma.
PICHA NA JOHN BANDA
Post a Comment