Huddah Monroe (The Boss Lady) ambaye alikuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother (The Chase) 2013 anatua Tanzania ku-host show ya Mid Year Bash siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013.
Siku chache zilizopita Loveness Diva na Huddah(The Boss Lady) walikuwa wanaugomvi mkubwa na kupelekea kutukanana kwenye mitandao ya kijamii.
Prezzo ndio aliyekuwa source ya ugomvi kati ya wanadada hao wawili. Huddah Monroe ni mmoja wa Big Brother Housemates 2013 na yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kuyaaga mashindano hayo ya Big Brother.
Post a Comment