BEHIND THE SCENE:- BUSTA RYMES FEAT. NICKI MINAJ - TWERKIT (VIDEO)


Baada ya kuwa kimya kidogo kwenye game, rapper kutoka Marekani, Busta Rymes ameonekana kurudi tena kwa kasi …
Soon to drop his new joint, Busta sasa ana “TWERK IT” aliomshirikisha female rapper known as Nicki Minaj kutoka Rich Gang.
They’ve been shooting na hii ni video ambayo inaonesha baadhi ya vipande vya utengenezaji wa video hiyo “TWERK IT” ambayo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu … Watch it below ;

Post a Comment

Previous Post Next Post