Mwanamziki Ciara ameshtakiwa na bar inayohudhuriwa na watu wanyekushiriki mapenzi ya jinsia moja (gay), iliyoko West Hollywood, ambao wanadai kuwa mwanamziki huyo aliwaacha kwenye mataa pale alipojitoa katika moja ya tamasha lao walilotarajia kulifanya leo usiku (7th)
Club hiyo ya usiku inayoitwa "The Factory" inasemekana kuwa inajaza sana wateja wake hao ambao wanajua ku-party
kutokana na mshtaka hayo, Ciara ali-sign dili la dola za kimarekani 10,000 kutokea katika bar hiyo leo usiku, ikiwa ni siku moja kabla ya kufanya show kwenye L.A. Pride parade.
Factory wanasema kuwa Ciara amesema kuwa hataweza ku-perfome kutokana na kizuizi kilichopo kwenye mkataba wake aliosaini na tamasha la Pride na kuendelea kusema kuwa bila kutarajia mwanadada huyo alijitoa siku ya tarehe 3 june, na kuwaacha wakiwa hawana star yoyote kwenye bash hiyo kabla ya pre gay parade bash
Kwasasa bar hiyo inamshtaki Ciara kwa kukatisha mkataba na kumtaka alipe hela zote ilizotumia kutangaza uwepo wake pamoja na pesa ambayo wataikosa kwa kutokuja kwake.
Post a Comment